Sunday, June 24, 2012

MJENGONI BIG BROTHER STAR GAME NEWS

MSHIRIKI KUTOKA SOUTH AFRICA BABZ KUTOLEWA (EVICTED)

Siku ya 49 ya msimu wa 7 BBA Star game mshiriki kutoka South Afrika BABZ kutolewa nje ya mashindano hayo akitokea jengo la Upvile kulikokuwa na mchuano wa kutoana jumatatu waliochaguana kwa ajili ya kutoana ni Babz kutoka (SA) Maneta (ZIM) na Prezzo (KE) kutokana na nguvu kutoka kwa kiongozi wa nyumba wa wiki  Mshiriki Gold kutoka Nigeria kuamua  kumtoa Prezzo mtuwake wake wakaribu katika kinyang'anyiro cha kutolewa badala ya Babz na kumweka kijana Keita kutoka Ghana kwenye kinyanganyiro cha kutolewa akielezea kwa masikitiko makubwa kiongozi wa wiki iliyopita kuwa aliamua kumtoa Prezzo kwenye kinyang'anyiro cha kutoka ni kutokana walipeana ahadi ya kutosalitiana kipindi chote watakacho kuwa mjengoni hapo na kumwomba msamaha rafiki yake Babz msamaha kwa maamuzi aliyochukua uku kijana keita kupokea taarifa hiyo na kuamua kwenda kuweka nguo sawa kabla ya maamuzi kutoka mshiriki Maneta na mwenzake Roki  kutoka zimbabwe walitolewa mapema wiki hii kwa kuvunja masharti kwa kutaka kupigana na kutoheshimiana huku jumba la down vile  walikokuwa wamebaki couple nne  na  mbili zenye hatihati ya kutoka ni kundi la Malawi na Zambia wanaweza wawili wakabaki katika hayo makundi kwenda kuungana na wenzao wa up vile kutoka Malawi ni vijana Nafe na Wati na kutoka Zambia ni Mabinti Tamara na Talia






BABZ

Babz baada ya kutolewa







Babz na Keita


Vimpira nomination wiki hii

Prezzo na Gold

No comments:

Post a Comment